Posts

Showing posts from October 5, 2014

UBAGUZI WA RANGI BADO NI TATIZO UENGEREZA

Image
Mkuu wa kitengo cha kukabiliana na ubaguzi wa rangi katika shirikisho la soka duniani FIFA amesema kuwa ubaguzi wa rangi katika soka ya Uingereza unafanyika hadharani.

GHARAMA ZA KUPIGA SIM AFRIKA MASHARIKI ZA PUNGUA

Image
Watuamiaji wa simu za mkononi nchini Kenya,Rwanda na Uganda hivi karibuni watakuwa wakipiga simu kwa bei nafuu,baada ya wahudumu wa simu kukubaliana kupunguza ada ya kupiga simu katika eneo lolote la Afrika Mashariki.