Ndoa ya Wiz Khalifa na Amber Rose imefika ukingoni Amber Rose anamshutumu Wiz Khalifa kuwa amekuwa akimsaliti kwa kipindi kirefu na kumtolea sababu zisizo na kichwa wala wa miguu Vyanzo vilivyo karibu na
Wazee wetu walishawahi kuneno kwamba; Ukishangaa ya Mussa utayaona ya filauni! Ndivyo unavyoweza kuanza kusema kuhusiana na tukio la kushangaza lililotokea Kijiji cha Udindila Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
nafasi ya kwanza ikishikwa na dr dre Hii ni list mpya ya wasanii wa Hip Hop waliotengeneza pesa nyingi tangu June mwaka jana hadi June 2014. Na hii ndo list ya wasanii 20 huku Dr Dre akiwa namba moja.
Rais wa Marekani Barack Obama amesema Marekani itashambulia kundi linalojiitaa Islamic state kote nchini Syria na Iraq ili kuwanyima kabisa makao ya kujificha . Bw Obama amesema kushiriki kwa mataifa kadhaa ya kiarabu katika mapambano hayo kunaonyesha wazi hivyo si vita vya Marekani pekee bali wao ni sehemu ya muungano wa mataifa yanayopigana na kundi hilo liitwalo pia ISIL.
Jitihada zimeendelea kufanywa katika nchi kadhaa za Afrika magharibi na jumuia ya kimataifa kupambana na ugonjwa wa ebola ambao umeathiri nchi za Sierra Leone,Liberia , Guinea hali kadhalika Nigeria kwa kiasi kikubwa huku Serikali za nchi hizo zikifanya jitihada za kujinusuru na ugonjwa huo.