TAMASHA LA SERENGETI FIESTA LAPAGAWISHA MJINI MOROGORO
tamasha la serengeti fiesta mjini morogoro limeleta sura mpya baada ya kuwa lusha vilivyo mashibiki wa morogoro
makomando pia hawakuwa nyuma kwani walifanya vilivyo walishambulia juu kwaa kwa sana
lakini mashabiki hawakubaki nyuma pia nao walitoa ushilikiano wakutosha
baba levo pamoja na peter msechu hawakuwa nyuma kwani walitoa burudani za kutosha bila kufanya makosa
lakini mashabiki hawakubaki nyuma pia nao walitoa ushilikiano wakutosha
baba levo pamoja na peter msechu hawakuwa nyuma kwani walitoa burudani za kutosha bila kufanya makosa