PICHA ZA SERENGETI FIESTA MR BLUE AVULIWA VIATU
Mashabiki wa Blue wakiung'ang'ania mguu wake...
Blue akifanya show bila viatu baada ya kuvuliwa na mashabiki wake...
Jumamosi ya wiki iliyopita ilifanyika bonge la show pale Geita tena kwa
kiingilio cha shilingi elfu kumi ikiwa ni tofauti na mikoa mingine
ambapo kiingilio uwa ni shilingi elfu tano lakini nyomi ya watu ambao
waliudhulia show hiyo ilikuwa Nisheedah! Nakukumbusha pia Geita haikuwa
kwenye
list ya Tour ya Serengeti Fiesta ila kutokana na
muariko maarumu ikabidi tufika pande zile na kwajinsi walivyo itikia
wito ebhana eeh mwakani lazima timu nzima ya Serengeti Fiesta idondoke
pande zile za Geita.Blue akifanya show bila viatu baada ya kuvuliwa na mashabiki wake...