PICHAZ AIBU: MCHAWI AKUTWA UCHI BAADA YA KUANGUKA ALIPOKUA AKIWANGA USIKU JIJINI MBEYA!
, amekutwa ameanguka nje ya kanisa akiwa uchi wa mnyama kwa kile
kilichodaiwa alikuwa anawanga.Kikongwe huyo alionekana ni mwenye
kuishiwa nguvu pia kuhema sana, alipozinduka alijikuta amezingirwa na
watu asubuhi huku akiwa ni mwenye woga wa wingi wa watu hao. Katika
kumuhoji haraka haraka alieleza kuwa alikuwa anasafiri safari zake za
usiku kutokea mkoani Morogoro kuelekea Ruvuma na alipopita maeneo hayo
ya