![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMkQDQBR5dnPPA0DHGqdADY5Xnkny7Y3r0u0Rmh2vL5364i6S7RxsAtclTOv3QTVl_-FE12SQgECg_yokZcXvC03k5m9NI_OaeZc0_7LeDikbAGBYx6t3F-9IOP9OXZzhwGxvRXXP9trD3/s1600/Watoto-1.jpg)
Bila shaka kila aliekua anawafatilia au kusikia taarifa
za hawa
watoto atakua na hamu ya kujua kimeendelea nini baada ya kupelekwa
kutibiwa nchini India ambapo mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete
amethibitisha kupitia ukurasa wake wa twitter kwa kuyaandika haya.
‘
Hospitali ya Apollo lndia imefanikiwa kuwatenganisha watoto mapacha toka Tanzania waliokuwa wameungana vifua‘