MATOKEO YA LIGI KUU ENGLAND YAENDELEA.....


Ligi kuu ya England imeendelea usiku huu kwa michezo mine iliyozikutanisha timu nane za ligi hiyo .
Kwenye uwanja wa Emirates , Arsenal waliweza kushinda mchezo wao wa pili mfululizo baada ya kuwafunga Southampton 1-0 ukiwa ni ushindi wao wa pili mfululizo wakishinda kwa bao moja .

Bao hilo lililowapa Arsenal ushindi lilifungwa na Alexis Sanchez ukiwa ushindi wa kwanza kwa Arsenal dhidi ya timu iliyoko kwenye nafasi za tatu bora

Popular posts from this blog