MTAMBO WA MAGOLI UNAOTINGISHA LIGI KUU WINGEREZA..............

Chelsea 4-2 Swansea City: Costa hat-trick helps maintains Mourinho’s perfect start
strika aliye sajiliwa akitokea atletico madrid
ameonyesha uwezo wake wa kufunga kila mechi baada ya leo kufunga hat tric na bao moja likifungwa na mchezaji mwingine aliye sajiliwa akitokea newcastle matokeo hayo yameifanya chelsea kuongoza kwenye ligi ikishikilia nafasi ya kwanza akiwa na point 12 nafasi ya pili ikishikiliwa na aston villa akiwa na point 9 huku tukiwa tuna subili game ambazo zitachezwa kesho.......

Popular posts from this blog