AKAMATWA AKIUZA NYAMA YA MBWA HUKO MBEYA

 
kijana mmoja jina lake halikuweza kujulikana halaka alikamatwa na watu akihusishwa na habari ya kuuza nyama ya mbwa
.Hawali kijana huyo alikuwa akifanya biashara hiyo na alisema kuwa biashara hiyo ilikuwa ikimuingizia kipato kwani ilikuwa ni vigumu kugundua nyama hiyo kama ni ya mmbwa kwa madai kwamba alikuwa anachanganya na nyama ya mbuzi au nyama ngombe lakini alikuja kugundulika baada ya watu kupewa taarifa kuwa kijana huyo ilikuwa akifanya biashara hiyo....


Popular posts from this blog