KAMANDA WA POLISI KITENGO CHA MADAWA YA KULEVYA AMESEMA KUWA MADAWA AMBAYO AMEKAMATWA NAYO CHID BENZ YALIKUWA NI HEROINE

CHID BENZ


kamanda wa kikosi cha kupambana na madawa ya
kulevya godfray nzowa amesema kuwa madawa ya kulevya ambayo alikamatwa nayo chid benz oct .24 yalikuwa  aina ya heroine ambazo zilikuwa kete 14

Popular posts from this blog