SABABU ZA MISS TANZANIA KUREJESHA TAJI
SITTI MTEVU
baada ya kusakamwa na maneno mengi kila kona miss tanzania
ameamua kuwasilisha taji lake la miss tanzania sabababu kubwa ni umri alikuanao ukionekana kuwa hukuzingatia vigezo na masharti ya mlolongo mzima wa kuwania taji la miss tanzania kutokana na maneno mengi kutoka kwa watu tofauti miss tanzania ameamua kulejesha taji hilo sehemu husika ili kuondoa maneno ambayo yanaendelea kuongelewa kutoka sehemu tofauti.