CHELSEA YA AMBULIA SARE YA 1-1 NA SCHALKE 04...........

Baada ya msimu uliopita kuishia
kwenye hatia ya nusu fainali – klabu ya Chelsea leo imeanza upya mbio zake za kuutaka ubingwa wa Champions League kwa kucheza dhidi ya Schalke.
Huku ikimuanzisha Didier Drogba badala ya Diego Costa, Chelsea wameambulia sare ya 1-1 dhidi ya Schalke ya Ujerumani.
Cesc Fabregas alianza kuifungia Chelsea goli katika kipindi cha kwanza kabla ya Klaas Jan Huntelaar kuisawazishia Schalke kipindi kifupi baada kipindi cha pili kuanza.
Timu zilipangwa namna hij…….
Chelsea (4-2-3-1): Courtois 7; Ivanovic 7, Cahill 6, Terry 6, Luis 6; Fabregas 7.5, Matic 7; Ramires 6 (Oscar 67 min, 5), Willian 6 (Remy 73, 6), Hazard 8; Drogba 5.5 (Costa 73 5).
Subs not used: Cech, Zouma, Azpilicueta, Mikel.
Bookings: Terry, Willian,
Manager: Jose Mourinho 7.
Schalke (4-2-3-1): Fahrmann 7.5; Hoger 6, Ayhan 7, Neustadter 7.5, Fuchs 6; Boateng 6, Aogo 6; Sam 6, Meyer 6 (Choupo-Moting 73, 6), Draxler 7.5 (Obasi 86); Huntelaar 7.
Subs not used: Weklo, Friedrich, Clemens, Barnetta, Avdijaj.
Bookings: Huntelaar, Boateng, Hoger
Manager: Jens Keller 7.

Popular posts from this blog