MAN CITY ACHINJIWA NYUMBANI NA BAYEN MUNICH.........

Ligi ya mabingwa wa ulaya imeendelea tena leo kwa michezo
kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani ulaya – kule Etihad stadium Manchester waliikaribisha FC Bayern Munich katika mchezo wa kundi E.Bayern Munich: Neuer 7, Rafinha 6.5 (Pizarro. 84), Boateng 7, Benatia 6.5 (Dante, 85), Bernat 7.5, Lahm 6.5, Alonso 6.5, Alaba 7, Muller 6.5 (Robben, 76, 5.5), Lewandowski 6.5, Gotze 7
Subs: Reina, Dante, Shaqiri, Pizarro, Rode, Hojbjerg.
Scorer: Boateng, 89.
Manager: Pep Guardiola, 6.5
Man City: Hart 9, Sagna 6.5, Kompany 7, Demichelis 6.5, Clichy 6, Nasri 5.5 (Milner, 58, 6) Fernandinho 6, Toure 5.5, Navas 6 (Kolarov, 87), Silva 7.5, Dzeko 6 (Aguero, 74, 5.5)
Subs: Caballero, Kolarov, Aguero, Lampard, Mangala, Boyata.
Manager: Pellegrini, 6.5
Katika dakika 3 za mwisho za nyongeza mchezaji wa zamani wa Man City – Jerome Boateng akaiadhibu timu yake ya zamani kwa kuifungia Bayern goli pekee na la ushindi kwenye mchezo huo.
Boateng alifumu a shuti kali ambalo Hart alijaribu kulifuata lakini likamshinda na kuipa Bayern ushindi wa kwanza kwenye ambalo linahusisha vilabu vya Spartak na As Roma.

Popular posts from this blog