JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE ASIKUSAHAHU DAIMA SOMA HAPA...........


mwanamke anapenda sana kubembelezwa
muda wote pia mwanamke anapenda sana mtu yule ambae yuko smart muda wote mcheshi kwa kila mtu ni mtuambae muelewa jua kuwa unapokua unahitaji kuingia katika mapenzi jua kua kuna changa moto kubwa sana kuwa makini ili kufanya mwanamke asikusahau daima ukiwa katika mapenzi jaribu kumuonyesha syl tofauti ili asahau aliko toka mwanzo
kama ilizoea kufanya nae mapenzi kitandani hebu jaribu siku hata kufanya nae mapenzi hata chini au kwenye kochi pia unapo kua unafanya nae mapenzi jaribu kuonyesha mautundu tofauti..

Popular posts from this blog