LEO PATACHIMBIKA KATI YA COSTA NA AGUERO NANI ZAIDI............

 Baada ya chelsea kushinda mechi zote kwenye
ligi kuu wingereza leo ana kibalua kikubwa kukutana na miamba na mabingwa wa taji msimu ulio pita man city je nani atatoka ua atashinda............


Popular posts from this blog