JE UNATAKUJUA MAVAZI GANI YATAKUPENDEZA ZAIDI ANGALIA HAPA,,,,,,,,,,,,,,,,

 
                                             mavazi humfanya mtu kuwa nadhifu nakuoneka vizuri katika jamii inayomzunguka pangilia mavazi yako kujua kivipi utatoka pia itakusaidia wewe kujua ni mavazi gani yanaendana na mwilia wako usivae vazi eti kisa umemuona mtu frani kava huwezi jua kwann yeye kavaa vile labda mavazi ambayo yeye kavaa yanaendana na mwili wake.............

Popular posts from this blog