WABUNGE WA CHADEMA WAZUILIWA KUVAA KOMBATI

Chadema wakienda kutoa maoni ya katiba

Wabunge na viongozi wa Chadema wakielekea Ikulu kuonana na Rais Kikwete kwa maswal aya Katiba mwaka jana. Mavazi yanayovaliwa sana na watu wa Chadema katika rangi tofauti kama picha inavyoonesha ndio yaliyoibu atafrani Bungeni

Popular posts from this blog