KUNDI LA Al-Shabaab LAPATA PIGO.................

   Taarifa kutoka idara ya ulinzi ya Marekani Pentagon zinasema kuwa mmoja wa wanzilishi wa Al Shabaab Ahmed Godane ameuawa.
Marekani imesema kuwa kuuawa kwa Godane ni hatua kubwa sana katika harakati dhidi ya wapiganaji hao wamekuwa msumari mkali kwa mataifa ya kanda ya Afrika Mashariki na hata kwa serikali ya Somalia yenyewe.....shambulio hilo limefanyika jumatatu na kwa wamedhibitsha kwamba kiongozi huyo ameuawa pia inasaidia kupunguza ugaidi unaofanywa na kundi hilo,,,,,,,,,,

Popular posts from this blog