HII NDO KAULI YA BI MARIA NYERERE KUHUSU Escrow
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjocsDs2UR7EYig-8lpsB3YGfQs8vfrmmywzsb-XUvHTlgNcgPNeN7HCmpnTxyxrZc0AiF1ir8LTy2LUU5KSFG8RNnkA1D1FE7lUwL5VR4498XfKMQoV3b5yTZE78HYGn8hKwgAMQVQCC0C/s1600/images.jpeg)
Mjane wa Hayati Baba wa Rais
wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius
Nyerere, Maria Nyerere, amezungumzia sakata ya ESCROW iliyozungumziwa
bungeni mjini Dodoma na kupendekeza ripoti ya mgogoro huo wa IPTL
kujadiliwa kwa uwazi ili kupata ufumbuzi na wahusika kuwajibishwa kwa
manufaa ya umaa.