PROF LIPUMBA ATOA TUHUMA NZITO KWA MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE

MAMA SALMA KIKWETE



Prof Ibrahim Lipumba AMLIPUA mama Salma Kikwete ni katika Oparetion delete CCM.
Mwenyekiti wa cha wananchi Cuf Prof Ibrahim Lipumba amesema Mama Salma Kikwete amejiuzia eneo muhimu kwa maendeleo ya wanakijiji kwa bei ya Tsh 8 milioni.
Prof Lipumba alikuwa katika KIJIJI cha KIJIWENI Tarafa ya Mchinga Wilaya ya LINDI VIJIJINI mkoan wa LINDI baada ya kumaliza ziara yake Wilaya ya LIWALE, KILWA, na NACHINGWEA.
Katika hali isiyo ya kawaida mamia ya wakazi wa Jimbo la MTAMA walirudisha kadi za CCM wakida wamechoshwa na CCM na mbunge wake Mhe Bernard MEMBE.
Akihutubia kwenye VIJIJI vya NACHUNYU, na NAMUNDU, katika jimbo la MTAMA Prof Ibrahim Lipumba alipokea ma elfu ya wanachama waiotoka CCM kwa kumchoka mbunge wao Mhe MEMBE.

Popular posts from this blog