JE ANGEKUWEPO BABA WA TAIFA JK NYERERE HAYA YOTE YANGEKUWEPO
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3pt-699qZSeckU6akBsIFwDg8mlE7N5DyAotGmR9ZG0b_Kh6UIVlz-CcknrkED5wKE-hDHFYsLdjl8t34ymy-diXuHUmMAqhz8TCURym7Ds-v0OSSLPp2deeGhbBAAmo2k2pQlnahwdmx/s1600/images.jpeg)
Haya yoote yanatokea ni kwaababu ya uzembe
au ubovu wa serekali watu wanafanya mambo bila hata ya kumuogopa mtu hii yote ni kutokana na ufinyu wa sheria ambazo zinatungwa na kupitishwa lakini hazina nguvu hao wanaozitunga ndio wanaozivunja ona mabilioni ya fedha ambazo ndo kodi ya mwananchi leo hii watu wanazifuja bila hata ya uoga wowote.