NDOA YA MIAKA YA VUNJIKA KISA WHATSAP
Wiki chache baada ya WhatsApp kutambulisha
mfumo mpya ambapo iwapo unamtumia message mtu inakuonyesha alama ya tick mbili za kijani na pia inaonyesha muda ambao mtu uliyemtumia message hiyo ameisoma, tayari kuna ndoa ambayo imeingia matatizoni kutokana na hilo.

Mwanaume mmoja Saudi Arabia ametoa talaka kwa mkewe kutokana na kitendo
cha mwanamke huyo kutokujibu message aliyomtumia WhatsApp.
Mwanaume huyo amesema kitendo kilichomkasirisha zaidi ni pale aliporudi
nyumbani na kumkuta mke wake akiwa busy anachat na marafiki zake kupitia
mtandao huo wakati message aliyomtumia yeye hakuijibu.Jamaa huyo ameona kama kitendo hicho ni dharau kubwa na hakuwa tayari
kuendelea na ndoa hiyo ambayo imedumu kwa miaka miwili tangu ifungwe.