atimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na
Wema Sepetu
na
kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah, Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa
zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa
Unajua hizi habari kiukweli zimekuwa zikinihuzunisha sana amesema superstar huyo wa muziki wa
Bongofleva Tanzania.
Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendi kuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwa sipendi
kuzungumzia kabisa, kwa kuwa najua kabisa siwezi kubishana na media kwakuwa media
ni kubwa, maana najua utaongea na huyu na yule siku ya siku utagombana na watu. Ndio maana
huwa
nakaa kimya,ameongeza Diamond anayetusua shows katika nchi mbalimbali ndani na nje ya Africa
kwa sasa Kusema ukweli hili suala limekuwa likiniumiza eti sijui kuna vikao vya harusi mie
nataka
kumuoa
Meninah Kusema ukweli sina mahusiano na Meninah. Kila mtu anajua mie nina mahusiano na
Wema
"Wema ndo mpenzi wangu, ila wakati mwingine nakuwa naelewa ile inakuwa ni trick ya kibiashara.
Mtu anajua hata nikimuandika vipi kumchukia!
Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kwa watu kuwa nipo na mwanamke wangu halafu
namsaliti alisema Diamond uongeza
Unajua kitendo hicho hatamaye kinaniudhi naona mtu yupo na mpenzi wake halafu anamsaliti.
Najua
hicho ni kitendo ambacho kila mtu hakimpendezi.
Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kupitia njia hiyo. Labda wana wasanii wao,
sasa
wanaona tukiingia kwa njia hii tutaweza kuamharibia Diamond. Ndio siku
zote nimekuwa kimya tu
ila sina mahusiano na Meninah. Mie nikiwa na mtu huwa sifichi naweka wazi kabisa.
Hata kama leo nimeachana na Wema nasema tu, why nifiche? Mie katika mambo yangu huwa
simuogopi
mtu kama ningekuwa nataka kuoa basi ninge weka wazi why nifiche?