MFANYABIASHARA MAARUFU AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATATU...
MFANYABIASHARA
maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake
zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la
Dail Mail. Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko
Onoja alikuwa akipata ulabu wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu
katika jiji la Benue hadi mida ya majogoo.
Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na usongo wa mambo nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake mdogo (mke wa sita). Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona hatua hiyo, ndipo walipoingiwa na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na silaha za asili kama visu na fimbo walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha to have sex with them as well.

Onoja alitumika kwa wake zake wanne kwa zamu. Lakini hali ilikuwa
tete pindi mke wa tano alipo mkaribia mfanyabiashara huyo ili naye apewe
mambo. Onoja alikuwa akipumua kwa taabu sana, kisha pumzi zikakata
akafariki dunia papo hapo. Kuona hali hiyo mke huyo wa tano akatokomea
kusikojulikana, ile hali wake wengine wawili kati ya hao wanashikiliwa
na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa kosa la mauaji na ubakaji. Onoja
was a prominent member of the Ugbugbu community.