DRC WALIOFALIKI KWA EBOLA WAONGEZEKA...
Shirika la afya ulimwenguni,WHO limesema idadi
Hata hivyo shirika la WHO limesema ugonjwa huo umebaki kwenye eneo moja
pekee huko Djera ,jimboni Equateur. Changa moto kubwa hivi sasa ni
kampeni ya kuhamasisha wakaazi wa maeneo hayo ambapo baadhi ya wanaougua
wanajificha,limelezea shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka,MSF.
Kamati ya pamoja ya madaktari wa Kongo,na wale wa mashirika ya kimataifa
imezidisha huduma kwa wagonjwa na watu waliowasiliana na wagonjwa hao
mnamo kipindi cha wiki tatu iliopita.Taarifa kamili na mwandishi wetu
Saleh Mwanamilongo. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za
masikioni hapo chini.