Msanii wa muziki H.Baba akishirikiana na mke wake Flora Mvungi Jumamosi ndani ya
Giraffe Ocean View Hotel wamefunga ukame wa tuzo kwa kupeana wenyewe kwa wenyewe baada
ya kuona kila mmoja kati yao ana mchango kwenye muziki na filamu
Rais wa shirikisho la wasanii Ado Novemba akimkabidhi tuzo ya msanii bora wa kutumbuiza
H.Baba
-wa-kike
Rais wa shirikisho la filamu Tanzania Simon Mwakifamba akimkabidhi tuzo Flora Mvungi ya
muigizaji bora wa kike
Akizungumza na wadau mbalimbali, H.Baba ambaye amepata tuzo ya mtumbuizaji bora wa muziki,
alisema yeye ndio msanii anayestahili kupata tuzo kama hiyo kwa Tanzania.
H.Baba-akizungumza-huku-akiwa-ameshika-tuzo-yake.H.Baba-akizungumza-huku-akiwa-ameshika-tuzo
yake-53
H.Baba akizungumza huku akiwa ameshika tuzo yake
na yeye inatakiwa aje peke yake. Kwa sababu
kuna Kiswahili fasaha ambacho kinakosewa kuna neno
linaitwa mtumbuizaji bora na kuna watumbuizaji bora.
Mimi ni mtumbuizaji bora,
wengine ni watumbuizaji bor
alijinada
Tuzo hii hapa ni ya mtumbuizaji bora Tanzania alisema muimbaji huyo
Mimi nina
tuzo ya East Africa mtumbuizaji bora, Tanzania sina hata tuzo moja kwa sababu ya nini
nimeshatangaza naanzisha hii tuzo kwa akili timamu na wala sivuti bangi. Mimi sivuti sigara
wala sinywi pombe, kama kuna msanii anaona hii tuzo sio halali yangu mimi ajitokeze. Promota
yoyote ajitokeze huyo msanii alipwe pesa mimi nita- perform bure na awadhihirishie watanzania
kwamba yeye ni mkali ya stage Tanzania. Kama ananizidi mimi, promota amlipe yeye ila mimi kama
H.Baba
nitaperform bure na nitakuja peke yangu
Tuzo hizo zinazotambulika kama ‘Tuzo za kifamilia’ zilihudhuriwa na rais wa shirikisho la
filamu Tanzania, Simon Mwakifamba, rais wa shirikisho la muziki, Ado Novemba, wanafamilia
mbalimbali pamoja na waandishi wa habari na zilifanyika kama tuzo zingine zilivyo.
Wengine walioibuka na tuzo ni Muongozaji mkongwe wa filamu Jully Tax pamoja na mtoto wa
H.Baba ‘Tanzanite’.
Rais-wa-shirikisho-la-filamu-Tanzania-Simon-Mwakifamba-akimkabidhi-tuzo-Frola-Mvungi-ya
-mwigizaji-bora-wa-kikeRais-wa
-shirikisho-la-filamu-Tanzania-Simon-Mwakifamba-akimkabidhi-tuzo-Frola-Mvungi-
ya-mwigizaji-bora
ikaeleweka. Ndiyo maana ya hii tuzo niliyopata leo
Ninaowatambua walikuwa watumbuizaji na ninawaheshimu mpaka leo nawataja watu wawili, kuna Mr
Nice kuna TID hao ndo watu wanaweza kusimama kwenye show na kuburudisha na watu
wakasema asante alisema H.Baba Pia kwa upande wake rais wa shirikisho la filamu Tanzania,
Simon Mwakifamba amempongeza
H.Baba na mke wake kwa kuamua kupeana tuzo Mimi nilivyosikia hili suala sikulielewa elewa
lakini sasa hivi ndo nimeelewa nini maana ya
hizi tuzo. Hii ni kupeana motisha ndani ya familia, kila mmoja ameona mchango wa mwenzake
kwenye sanaa. H. Baba ni msanii wa muziki na Flora ni muigizaji kama wameamua kupeana tuzo
mimi naona ni jambo jema,” alisema Mwakifamba Juli-Tax-akikabidhiwa-tuzo-na-KennenyJuli-Tax-
akikabidhiwa-tuzo-na-Kenneny
Jully Tax akikabidhiwa tuzo na Kenneny H.Baba na mwanae Tanzanite
Frola-Mvungi-akifurahia-zawadi-ya-pesa-kutoka-kwa-Mwakifamba
Frola-Mvungi-akifurahia-zawadi-ya-pesa-kutoka-kwa-Mwakifamba
Flora Mvungi akifurahia zawadi ya pesa kutoka kwa Mwakifamba
H.Baba-akikabidhi-wa-pesa-kutoka-kwa-rais-wa-shirikisho-la-wasanii
H.Baba
Kwanini nasema watumbuizaji bora kwa sababu msanii yeye mwenyewe hajiwezi mpaka awe na watu
wakucheza naye, ila mimi binafsi najiweza kwa sababu mimi mwenyewe ninaweza fanya kazi na