AMBER ROSE ALIMFUMANIA WIZ KHALIFA KITANDANI AKIWA NA WASICHAA WAWILI MAPACHA.............


Kwa mujibu wa mtangazaji wa Hot 97, Peter Rosenberg, Amber Rose alimfumania
Wiz Khalifa akiwa kitandani na wasichana wawili mapacha.
Rosenberg ambaye yeye na mke wake ni watu wa karibu na Amber amesema wasichana hao ni mapacha wanaofanana, waitwao Jas na Ness. 
Jass na Ness 


       Wawili hao walionekana wakipiga picha na Wiz wiki mbili kabla ya siku hiyo

Popular posts from this blog