PETER OKOYE WA P SQUARE AANGUKA JUKWAANI WAKATI AKITUMBUIZA WIKI HII

Mashabiki waliofika kushuhudia show
ya mapacha wa P-Square jijini Lagos, Nigeria Jumanne wiki hii, walijikuta pia wakishuhudia ajali aliyoipata Peter Okoye aliyeanguka kutoka jukwaani hadi chini wakati akitumbuiza. Peter alipata maumivu kidogo ya mguu.
Baada ya ajali hiyo Peter aliandika kwenye Instagram:

I’m human,I’m not perfect. But I’m thankful. I knw I will be fine b4 my next concert dis weekend in Congo Lubumbashi,Dubai …… Thanks peeps”

Popular posts from this blog